House for rent at Pugu, Dar Es Salaam


ππ‘KINAPANGISHWA CHUMBA MASTER KINA TILES, GIMSAM, FENI, FEC, MAJI CHOONI YANATOKA 24 HR NA UMEME LUKU WAKSHEA.
ππ¦BEI ELFU HAMSINI (50,000/=) KWA MWEZI . UKILIPIA MIEZI SITA UNAFANYIWA UKARABATI WA LANGI NA MABOMBA NA SIKI CHOONI.
ππVIPO PUGU KIGOGO SOKONI, WILAYA ILALA, DAR ES SALAAM. PIA NYUMBA HAIPO MBARI NA BALABALA DAKIKA 2 KWA MGUU.