House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA
INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO, FENI SEBULENI NA CHUMBANI, MAJI DAWASA YANATOKA JIKONI NA CHOONI. IKO NDANI YA FENSI.
KODI: 120000 KWA MWEZI, MALIPO MIEZI SITA.
LOCATION: PUGU BAGDAD
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.