House for rent at Pugu, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA
INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA (MASTER), SEBULE NA JIKO, HEATER IPO CHOONI, PUBLIC TOILET IPO NNJE.
MAZINGIRA NI MAZURI SANA KUNAUTULIVU.
IPO KWENYE FENSI NA USALAMA UKO VIZURI, MAJI YAPO DAWASA.
LOCATION: PUGU, KITUO KISUMU
KODI: 200,000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
Contact 0719115949 / 0692423138.