House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA (NYUMBA MPYAA)
INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO
UMEME INAJITEGEMEA NA MAJI NI BURE YANATOKA MASAA 24. NYUMBA IPO NDANI YA FENSI.
LOCATION: PUGU SHULE YA MSINGI.
KODI: 180000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MINNE.
SERVICE CHARGE 10000.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.