House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA
INA CHUMBA MASTER NA SEBULE, FENI IPO SEBULENI NA CHUMBANI.
MITA YA UMEME INAJITEGEMEA NA MAJI YAPO MASAA 24, YANATOKA NDANI.
LOCATION: PUGU SHULE YA MSINGI
KODI 120000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI SITA.
CONTACT 0692423138 / 0719115949