House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA NI MPYAAA
INA CHUMBA MASTER KIKUBWA, SEBULE KUBWA NA JIKO.. FENI IPO SEBULENI NA CHUMBANI.
MITA YA UMEME WANASHEA WAWILI NA MAJI YAPO MASAA 24, YANATOKA NDANI.
LOCATION: PUGU KONA MATAA
KODI 120000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI SITA.