House for Rent at Reli, Mtwara
NEW PROJECT LOADING.......
CHALINZE NI MJI UNAO KUWA KWA KASI SANA UKIZINGATIA UWEPO WA MOROGORO ROAD, ARUSHA ROAD RELI YA SGR, VIWANDA, BANDARI KAVU NA MIUNDOMBINU YA UHAKIKA, UWEPO WA MAJI YA UHAKIKA KUTOKA MTO RUVU NA MTO WAMI NA UMEME
VIWANJA VYETU VIPO KATIKA MAZINGIRA MAZURI SANA. VIMEPIMWA NA VINA MIUNDOMBINU YA BARABARA
MILIKI KIWANJA LEO KWA KULIPA 50000 KILA MWEZI
MALIPO YA AWALI NI 120000
VIWANJA VIPO CHALINZE CENTRE
800 METER KUTOKA BARABARA KUU YA MOROGORO UNAWEZA KUTEMBEA KWA MGUU DK 5 HADI SITE
VIWANJA VYOTE VIMEPIMWA NA VINA MIUNDOMBINU YA BARABARA
TEMBELEA SITE ZETU KILA JUMAMOSI NA JUMAPILI
SIMU 0785 559755 0674 7 19074
AU FIKA OFISIN KWETU POSTA MPYA MAVUNO HOUSE AZIKIWE STREET DAR ES SALAAM