House for rent at Sakina, Arusha


Inapangishwa sakina arusha
Ni nyumba classic
Ni nyumba yenye room za tatu kulala zote master
Ina makabati vyumbani
Ina sebule na dairning
Ina jiko lenye makabati
Ina public toilet
Ina heater ya maji moto
Ina parking
Bei 550,000/=kwa mwez
Call 0758105801/0693412119