House for rent at Sakina, Arusha


Inapangishwa sakina kwa idd arusha
Ni nyumba yenye room mbili za kulala moja master
Ina kabati chumbani
Ina sebule na dairning
Ina jiko lenye makabati
Ina choo ndani
Ina parking
Umeme unajitegemea
Bei 250,000/=kwa mwez
Call 0758105801/0693412119