House for rent at Sinza, Dar Es Salaam


Apartment Kali Inapangishwa
Mahali: Sinza Makaburini
Bei: 330,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
☑️Zipo Nne Kwenye Compound
☑️Vyumba Viwili, Kimoja Ni Master
☑️Sebule
☑️Jiko (Nje)
☑️Choo Cha Wageni (Nje)
☑️Fensi
☑️Tiles, Gypsum & Sliding Windows
☑️Luku Inajitegemea
☑️Reserve Tanks
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 20,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa Dalali