House for rent at Sinza, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 490,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/06/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA ZURI
#PUBLIC TOILET
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING
BEI NI 490,000/=X 6
❌PESA HII YA KODI IMEJUMLISHWA NA GARAMA ZA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VYOTE HULIPII ANALIPA MWENYE NYUMBA
🏘️ APARTMENT HII NZURI IPO SINZA VATICAN NA IPO JIRANI KABISA NA MAIN ROAD NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
UKILIPIA NYUMBA HII UTALIPIA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 2 TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0785889413
#0785889413
#0754589413