House for rent at Sinza, Dar Es Salaam


House for rent
Date listed
13 02 2024
Direction
Sinza madukani
Fixed price
Laki 600 000 kwa mwezi kodi miezi 6
Service charge yakuona nyumba ni shi 30000 pia nakodi yamwezi 1 wa dalali
3bedrooom sting room dinning room chumba kimoja nimastar kitchen pablic toilets paking nyumba unalipa nakuhamia
Notes
Dc
Real estate campany
Epuka matapeli fanya kazi namadalali wenye ofis nawaliosajiliwa
Fika ofisin kwetu sinza madukani near manyala hotel
Call
0654 33 00 49
0712 17 55 49 whatsAp