House for rent at Sinza, Dar Es Salaam


Chumba master sebule na jiko (440,000 × 6) SINZA VATICAN
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 440,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#JIKO KUBWA (OPEN KITCHEN)
#PUBLIC TOILET
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING
BEI NI 440,000/=X 6
ILIPWE LAKI 4 NA ELFU 40 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII NZURI IPO SINZA VATICAN NA IPO JIRANI KABISA NA MAIN ROAD NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
UKILIPIA NYUMBA HII UTALIPIA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 2 TUU
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300