House for rent at Sinza, Dar Es Salaam
Apartment for rent
Loc:sinza
Price:400,000
Term:six month
Note:
30,000 pesa ya ofisi inalipwa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja
Classification:
Chumba master sebule jiko tiles gypsum board madirisha ya kioo ndani ya fensi umeme unajitegemea maji unajitegemea ndani ya fensi zipo 2
Fanya kazi na dalali wenye ofisi uepuke kutapeliwa fika ofisini sinza madukani tukudumie
Call:0688037829👈
Call:0718123756👈