House for rent at Tabata, Dar Es Salaam


(300,000 ร 6) TABATA SEGEREA
๐ฟ๐๐จ๐ฉ๐๐ฃ๐๐: Dakika Chache kwa Mguu kutoka Main Road
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐
============
โข Sebule kubwa
โข Chumba Kikubwa cha Kulala Master
โข Jiko Kubwa
โข Choo Kizuri Cha Wageni
โข Heater ya Maji
โข Electrical Fance
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
๐๐ค๐๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 300,000 Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300