House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Segerea. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Master
- Jiko lenye makabati
- A/C
- Kabati chumbani
- Mafeni
- Paving
- Fence
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
Kodi 250,000/= MIEZI SITA.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.