House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam







Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Bonyokwa Stendi.
- Master
- Sebule
- Jiko
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Ipo barabarani kabisa
- Water reserve tank
Kodi 200,000/=.
Service charge 10,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.