House for rent at Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO ZURI LENYE MAKABATI.
MAJI NA UMEME INAJITEGEMEA. MAJI YAPO MASAA 24.
LOCATION: TABATA KINYEREZI.. MBUYUNI
DK 5, KUTOKA STEND KWA MIGUU.
KODI: 250000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI 6.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.