House for rent at Tabata, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA IPO TABATA KINYEREZI
MBUYUNI
============================================
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTA
SEBULE
JIKO
PARKING IPO
NDANI YA FENCE
MAJI UMEME UNAJITEGEMEA
DK 3 KUTOKA BARABARANI
KODI TSH 350,000 KWA MWEZI
PIGA ๐ 0788373343
SERVICE CHARGE 15000