House for rent at Tabata, Dar Es Salaam


Apartment ya vyumba viwili vya kulala sebule choo jiko hakuna master
Inapangishwa Bei 330,000/= location tabata kimanga
Ndani ya fence
Gari inalala
Serves charge elfu 20 bila kusahau Kodi ya mwezi mmoja kwa dalali White Kama utalipia nyumba
Dkk 5 kutembea
Piga0786592156