House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Tabata Hotel.
- Master
- Sebule
- Jiko (anaweka makabati)
- Public toilet
- Anafunga A/C
- Mabomba ya mvua anaweka
- Sink anaweka chooni n.k.
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Paving
- Parking
- Electric fence
- Dakika 0 kutoka kituoni
Kodi 350,000/= mbaka 300,000/= MIEZI SITA.
Muhitaji piga 0688 412 890.