House for rent at Tabata, Dar Es Salaam


Apartment mpya kabisa zinapangishwa maeneo ya tabata aroma
bei 600,000/=Full AC 500,000/=Bila AC
NI Vyumba viwili vya kulala
master 1
sebule
jiko lenye makabati
ndani ya fence parking ipo
dkk 1 kwenye lami
bila kusahau serves charge 20
kama utalipia nyumba bila kusahau kodi ya mwezi kwa dalali white
piga 0750628452/0786592156Whatssap