House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam
170,000 x3. 0759151524
KODI NI 170X3 TU WAI MAPEMA
.
HII NYUMBA SEBULE YAKE SIO KUBWQ
.
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA SEBULE NDOGO JIKO ZURI LA NJE
.
APARTMENT IPO TABATA KINYEREZI KITUO KIFURU UMBALI WA DK 4 TU KUTOKA KITUO CHA DALADALA
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI GARDEN NZURI MAZINGIRA SAFI KABISA
.
HAPA NI WAPANGAJI TU MWENYENYUMBA HAKAI APO
.
LUKU 2 TU NA MAJI TENK LAKO MWENYEWE JUU
.
KODI NI 170,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MITATU (3) BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA WA DALALI SILAA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT. 0679 956 863
0759151524