House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam




KIWANJA SQM.1,150, TSHS.190 MILIONI, TABATA BIMA.
Ni umbali wa mita 100 tu kutoka Barabara ya Lami.
Ndani kuna nyumba za kizamani za kupiga mtama kuweka majengo ya kisasa.
Na eneo limezunguushiwa ukuta.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Panafaa sana kuweka nyumba za kupangisha (Apartments) au nyumba yako moja tulivu ya kuishi.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________zw
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.