House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam
Hapa Kuna Sqm 1400 Zinapatikana Tabata kinyerezi Kibaga zinafaa kabisa kwa uwekezaji
Bei: 130 Milion #maongezi_yapo
Service Charges:30,000 ( Unalipia Mala Moja Tu.)
📍Location: Tabata Kinyerezi KIBAGA Dar es salaam Tanzania
📍Ukubwa wa kiwanja Ni Sqm 1400
Umbali Ni DAKIKA 2 kutoka kinyerezi Mwisho
✅️Fully Documented
✅️Kina Hati Miliki ya wizara ya Ardhi
Kinyerezi Kibaga Moja kati ya maeneo ambayo yanakuja kwa kasi sana hapa kinyerezi kwa uwekezaji, unaweza kujenga kwa kuishi au ukaamua kuweka nyumba za kupangisha panalipa sana Mazingira ni rafiki sana Mitaa yake imenyooka sana
Kwa Mawasiliano Zaidi
Calls;
0682511712. 0759989890
0652043191 whasp