House for rent at Tabata, Dar Es Salaam


500,000x6 MPYA mpya ina maji 0782636396 0655436396 0767636395
APARTMENT INAPANGISHWA TABATA MAJI CHUMVI #500k
===
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedrooms sebule jiko na public toilet
===
Kodi 500,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali KM 1 Usafiri bajaji zipo
Unaweza kutembea dakika kumi na tano kwa miguu kutoka Mwendokasi
===
Ndani ya fence parking IPO inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Zipo Apartment mbili Tu Kwenye fensi
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 20 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====