House for rent at Tabata, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINAPANGISHWA ####200k
-------------------------------------------------------------------------------
MAHALI ILIPO = TABATA KINYEREZI MWISHO
DUKA LA DAWA UMBALI WA DK 7
KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI
DAR ES SALAAM
TANZANIA š¹šæ
---------
SIFA ZA NYUMBA =
CHUMBA MASTER
PUBLIC TOILET
SEBULE
JIKO
TAILS
GYPSUM
REZEV SIMTANK
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
-----------------
KODI NI LAKI 200,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
KUONA NYUMBA NI ELFU 20,000 /=
------------------
CONTACT
NO = 0766825473
WSP = 0788410350