House for rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba ni mpya inapangishwa bei 250,000/=
Chumba
Sebule
Choo
Jiko
Umeme na maji inajitegemea
Kwenye fence familia 3
No parking
Location tabata barakuda
Serves charge elfu 20
Bila kusahau kodi ya mwezi mmoja kwa dalali white
Nyumba ni nzuri jaman
Piga 0786592156/0750628452