House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Tabata Segerea Shell.
- Master
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Water reserve tank
- Paving
- Parking
- Fence
- Wapangaji wanne
Kodi 250,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.