House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Tabata Segerea.
1. Master, sebule na jiko mpya kodi 250,000/=.
2. Master na jiko mpya kodi 180,000/=.
- Umeme na maji unajitegemea
- Paving anaweka
- Parking anaweka
- Fence
- Karibu sana na karibu
Muhitaji piga 0688 412 890.