House for rent at Tandika, Dar Es Salaam
📍TANDIKA
🏠NYUMBA INAPANGISHWA ( 2 APARTMENTS ONLY)
💰500,000 Kwa Mwezi & Na mwezi mmoja wa dalali
🏷Details
✅️ 2 Bedrooms - kimoja master
✅️Fenced
✅️ Parking Available
✅️ Independent Electric meter ( UNAJITEGEMEA UMEME)
✅️ APARTMENTS 2 KWENYE COMPOUND MOJA
✅ kitchen ( CABINETS)
✅ Sitting room
✅DINNING ROOM
✅ Public toilet
✅ Aluminum windows ,tiles n.k
✅PAVINGS
✅NEW HOUSE
✅Maji yapo 24/7
NB: TUNAPOKEA MALIPO KUANZIA MIEZ SITA - UNAINGIA / KUHAMIA KUANZIA TRH 1/11/2023 ( Nyumba inakua imeshakamikika )
#WekaBookingMapema
✍️SURVEY CHARGE(Pesa ya kuzunguka/ survey)
Tsh. 15,000/= inalipwa Mara moja mpaka upate nyumba .
❗️USISITE KUPIGA SIMU
> kwa kuuliza au maelekezo
🙏 KARIBUNI SANA WATEJA .