House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


KODI NI 220,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
########
CHUMBA KIKUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
CHOO NDANI PUBLIC
LUKU YAKE
MAJI MITA YAKE
DAWASA
YANAFLOW NDAN
TILLES
GYPSUM
DRISHA SHATA MAZURI
NDAN YA FENS
PARKING IPO KUBWA
MAZINGIRA MAZURI
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KWA MKUA
UMBALI KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN
USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA DK 5 UPO NYUMBAN
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
DALALI KISMATI UBUNGO ON THURSDAY MOOD 🔥🚒💪
0693850032