House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa UBUNGO KISUKULU MAJI CHUMVI
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku yako
Maji yako
Maji yana flow ndani
Full tilles,gypsam & aluminium
paving
Parking yakutosha
Kodi 350,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.