House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







STAND ALONE KUBWA NZURI SANA INAPANGISHWA KODI 400,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 700 UKISHUKA UNATEMBEA DK 5-6
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#VYIUMBA 3 KIMOJA MASTER
#SITING ROOM KUBWA & DAINING TABLE
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI MITA YAKO
#PAKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ๐ซ
NB: KWA GARI YA CHINI BARABARA NI KIPENGELE KIDOGO KUFIKA