House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


#APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Ubungo Kibo
🕑Dakika 7 Kutembea Kutoka Mwendokasi.
#SIFAZAKE
Chumba Kimoja Master
Sebule
Hakuna Jiko
Umeme Luku Yake
Maji yanaflow ndani
Fensi ya Waya & Parking Kubwa sana.
👉Hii Inakuwa Wazi Kuanzia Tar 05/04/2024 Kuiona ndani na Kulipia Ruksa
🔷Kodi Tsh 250, 000/=×6(Miezi Sita)
🔷Malipo ya Dalali Tsh 250, 000/=
🔷Service Charge. Tsh 15, 000/=
______________
Piga_simu 👇
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.