House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE dk6
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
MASTER BEDROOM
Sebule
Umeme wa luku
Maji ya dawasco
Full tilles & gypsum
Iko kwenye fenci
Kodi 150,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.