House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 400,000X6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU KM1 USAFIRI BAJAJI 500 AU UNAWEZA TEMBEA DAKIKA 15
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
#VYIUMBA 3 KIMOJA MASTER
#SITTING ROOM KUBWA & DAINING TABLE
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
NB: NYUMBA NZR CYO YA KUJIULIZA MARA 2 PICHA NZR ZITAWAJIA SOON WAI BILA KUCHELEWA NDUGU MTEJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347