House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


(400,000X6)UBUNGO MAKOKA
➖➖➖➖➖➖➖
HOUSE FOR RENT STAND ALONE INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENCE KODI 400,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 KUTOKA UBUNGO EXTRENAL AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA VINNE 4 KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DAINING TABLE
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#FULL/ACC SEBULENI
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA PEVING BLOCK 🚫
NB: NYUMBA HII INAUKARABATI WA RANGI NK: UNAINGIA NYUMBA IKIWA MPYA
➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453