House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE
Nyumba itakuwa wazi trh 1/4/2024 kuona na kulipia ruksa
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
UMEME ×2
MAJI YANA FLOW NDANI
FULL TILLES, GYPSUM & ALUMINUM
PARKING YAKUTOSHA
Kodi 200,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.