House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


NI CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA SANAA NA KISEEM CHA JIKO
HIKI CHUMBA KINAKUA WAZI J MOS TAR 08 / 06/ 2024 KUJA KUKIONA NA KULIPIA NI RUKSA
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE KUPITIA UKU KIBANGU
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 700 UKISHUKA DK 2 TU UPO NYUMBAN
KODI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
CHUMBA KINA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 KIPO FEN JUU PANGA BOY NDAN YA FENSI PARKING SPACE KUBWA LUKU SUBMETER NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW CHOONI
MAZINGIRA MAZURI SANA NA TULIVU PERVING BLOCK SAFI
SERVICHAJ ELFU 15
DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT
0652508128
0753989554
=====