House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


HOUSE FOR RENT STAND ALONE INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENCE KODI 700000ร6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU DAKIKA 12-15 KUTEMBEA USAFIRI BAJAJI 500 BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#VYIUMBA 3 KIMOJA MASTER KUBWA
#SITING ROOM KUBWA
#DAINING TABLE
#JIKO KUBWA LA KISASA NA STORE KUBWA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ๐ซ
NB: INAWEKWA SLAIDING WINDOW ๐ช INAPENDEZA SANAA NDUGU MTEJA WAI TU
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347