House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISWA KODI 600000×6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU DAKIKA 12-15 KUTEMBEA USAFIRI BAJAJI 500 UNAWEZA PITIA UBUNGO EXTRENAL PIA KOTE UNAFIKA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI MITA YAKO
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ZINAWEKWA 🚫
NB: NYUMBA INAKUWA TAYARI KUINGIA TAREHEE 31.1.2025 KUONA KULIPIA RUKXA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347