House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA ZIPO 2 TU NDANI YA FENCE MOJA NDIO INAKUWA WAZI SOON .
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 KUTOKA UBUNGO EXTRENAL AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI
-----------
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER
#SEBULE
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ๐ซ
------------
Service charge 15,000/=
Kodi 350,000/=ร6
-------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.5
-------------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA ๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐