House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZUR SANA INAPANGISHWA 
.
.
INAKUA WAZI TAR 05/05/2024 KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA 
.
.
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA 
.
.
SIFA ZAKE 
########
VYUMBA VIWILI 
KIMOJA MASTER 
SEBULE 
JIKO
PUBLIC TOILET IPO KWANJE
TILLES 
GYPSUM 
ALUMINIUM 
LUKU YAKE 
MAJI YAPO 
DAWASA 
YANAFLOW NDAN 
NDAN YA FENSI 
PARKING SPACE KUBWA 
PERVING BLOCK SAFI 
MAZINGIRA MAZURI 
.
.
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KWA MKUA UMBALI WA KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 NA UKISHUKA KWENYE BAJAJI DK 4 UPO NYUMBAN. 
.
BRBR NI RAFIKI KABISA AINA SHIDA
.
.
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA 
.
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
0652 508128 
0753 989554 
=====




















