House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment MPYA inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
MASTER BEDROOM
Umeme wa 3
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Usalama wakutosha
Kodi 170,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.