House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


NI APARTMENT 3 TU KWENYE COMPOUND MOJA
.
NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN
.
.
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA KAMILI
.
.
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA CHOO NDANI PUBLIC
.
.
INA TILES GYPSUM ALUMINUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO IPO NDAN YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO
.
.
LOCATION: UBUNGO MAKOKA
.
UFIKAJI
======
UKITOKEA KIMARA KOROGWE UNAFIKA
UKITOKEA UBUNGO RIVA SIDE UNAFIKA
KOTE USAFIRI WA BAJAJI UPO NA UKISHUKA KWENYE BAJAJI DK 4 MPKA 5 UPO NYUMBAN
.
SERVICHAJ ELIFU 15 NA ITADUMU MPAKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT
NO=0766825473
WSP=07884+0350