House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


STAND ALONE HOUSE inapangishwaaa
📍Mahali : UBUNGO RIVERSIDE MAKOKA
📍Bei : 400k
📍ina vyumba vinne kimoja ni Masterbedroom na Choo Cha wageni ndani
📍 Sebule kubwa na dinning
📍Jiko lakisasa lenye makabati
📍tiles, gypsum, slides windows
📍 Fensed, parking and parving blocks
📍Umeme na maji unajitegemea
📍Upo mwenyew kweny compound nzima
📍 Reserve tenks zipo
📍 Dakika 5 kutoka stend......
Broker@Dalali_msafi_goba_mbweni. Njoo ujipatie Nyumba Kali,Apartmemt kali za kununua na Kupangisha.
Call&watsapp 0769279936
Service charge 20,000
#goba #mbweni #bunju #tegeta