House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


(250,000 ร 4,5,6) UBUNGO MAKOKA YA KUPITIA RIVERSIDE
NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA
IPO UBUNGO MAKOKA YA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI 4,5,6
SIFA ZAKE:
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA
SEBULE KUBWA SANA UNAWEZATENGA NA DINING
JIKO ZURI
PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDANI
IPO NDANI YA FENS PARKING IPO KUBWA MAZINGIRA MAZURI MNOO
UMBALI KM 2 KUTOKA MAIN ROAD UBUNGO RIVERSIDE
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 700 KUPITIA UBUNGO KIBANGU RIVERSIDE
UKISHUKA KWENYE BAJAJI DK 3 UPO NYUMBANI
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300