House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
HOUSE FOR RENT STAND ALONE INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENCE KODI 500,000X6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU DAKIKA 10-12 KUTEMBEA BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 3 KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#DAINING TABLE
#JIKO KUBWA LA KISASA NDANI NA NJE
#PABLICK TOILET NDANI NA NJE
#FULL ACC SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO PEVING BLOCK ๐ซ
NB: INAMALIZIWA KUPIGWA RANGI NJE NA KWENYE FENCE WAI NDUGU MTEJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347