House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA YA JUU GOROFANI KODI 290000ร4,5,6 YOTE INAPOKELEWA
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU JUU KM1.5 USAFIRI BAJAJI 500 BARABARA NI LAMI TUPU UKISHUKA DAKIKA 2 UPO NYUMBAN
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE NA JIKO LA MAKABATI
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#HITTER MAJI MOTO NA BARIDI @ WIFI BUREE
#FULL CCTV CAMERA ๐ท
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ๐ซ
NB: NAFAULISHA UKILIPIA TU MTU ANATOKA INAPIGWA RANGI UNAINGIA CHAPU



















